Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Basi la Arusha Express baada ya kupata ajali.
BASI la Arusha Express limepata ajali leo maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha wakati likijaribu kulipita gari ligine na kukutana na lori mbele yake. Ili kuepesha madhara, dereva wa lori aliamua kuingia kichakani ili asigongane uso kwa uso na basi hilo lakini ilishindikana.

Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa watu ndani ya lori ndiyo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali.
No comments:
Post a Comment