Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na
mshambuliaji wa timu hiyo, Emmanuel Okwi (aliyepiga magoti) wakati wa mchezo wa
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliofanyika kwenye Uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment