HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » PICHA: VURUGU ZATOKEA BUNGENI NAKURU NCHINI KENYA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Jana katika ukumbi wa baraza la Kaunti ya Nakuru Kenya umegeuka  kuwa uwanja wa ngumi baada ya Wabunge kupigana kutokana na kuwepo kwa mvutano kati ya Wabunge wanaomuunga mkono Spika Susan Kihika aliyefukuzwa hivi karibuni na Wabunge wengine kumtaka Naibu Spika Samuel Tunui aendeleze vikao vya Bunge huku Naibu Spika huyo akidai kushambuliwa na wahuni waliokodishwa na Spika.
 Kulikuwa na muswada uliokuwa upendekeze kanuni kuhusu jinsi ya kumuondoa Naibu  Spika, Samuel Tunui na wenyeviti wa kamati mbalimbali wanaodaiwa kupinga uongozi waSpika ambao Wabunge hao bado hawajakubaliana kuupitisha muswada huo. 

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: