Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Serikali ya Kenya imeamua kulipia gharama za matibabu kwaajili ya muigizaji mkongwe wa nchini Benson Wanjau, maarufu kama Mzee Ojwang’ Hatari, anayesumbuliwa na nusu upofu pamoja na depression.
Makamu wa rais wa Kenya, William Ruto ametangaza uamuzi huo kupitia Twitter. “The Government will pay the medical bill for Mzee Ojwang. We wish him a quick recovery,” ameandika Ruto.
Mzee Ojwang’ aliyejipatia umaarufu kupitia tamthilia ya Vitimbi alilazwa kwenye hospitali ya Lions SightFirst Eye huko Loresho kwa matibabu.
KWA ZAIDI BOFYA HAPA
KWA ZAIDI BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment