Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Kagera
Sugar, Salum Kanoni katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam. Yanga ilishinda 2-1. (Picha na Francis
Dande)



No comments:
Post a Comment