HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » YALIYOJIRI KWENYE MECHI YA SIMBA NA YANGA HAPO JANA UWANJA WA TAIFA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


  Kikosi cha Simba. kikiwa katika picha ya pamoja.
Mashabiki wa Simba wakishangilia bao la Okwi.

ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Kikosi cha Yanga.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao pekee la ushindi la timu yao lililofungwa na mshambuliaji, Emmanuel Okwi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara dhidi ya Yanga uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kocha wa Simba, Goran Kopunovic (kulia) akisalimiana na kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm kabla ya pambano lao.
Mshambuliaji waSimba, Emmanuel Okwi akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Yanga, Kelvin Yondani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kocha wa Simba, Goran Kopunovic akishangilia bao lililofungwa na Emmanuel Okwi.

Walemavu wa ngozi albino wakiingia uwanjani wakati wa mchezo wa Simba na Yanga huku wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe mahsusi uliokuwa ukisomeka ‘Imetosha Mauaji ya Albino’.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: