Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Mshambuliaji Machachari wa Timu ya Yanga, Mrisho Khalfan Ngassa akiichambua ngome ngombe ya Timu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanya imeshinda Bao 5 - 1. (Picha na Othman Michuzi)

Mchezaji wa Yanga, Simon Msuva akiangalia namna ya kuwatoka mabeki wa Timu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanya imeshinda Bao 5 - 1.
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI

Amis Tanbwe wa Yanga na Gift Bello wa FC Platinum wakiwania mpira wa juu wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Salum Telela wa Yanga akiipachikia timu yake bao la kuongoza wakati wa mchezo wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Furaha ya Ushindi: Kiungo mchezeshaji wa timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akiongoza mashabiki wa Timu ya Yanga kushangia goli lao dhidi ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa Mashindano ya Kombe la shirikisho,uliochezwa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Yanya imeshinda Bao 5 - 1.
No comments:
Post a Comment