HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WATOA MKOPO WA SHILINGI MILIONI 100 KWA SACCOS YA WALIMU WILAYANI RUANGWA MKOANI LINDI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Nicholous Kombe,  mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi millioni 100 ikiwa ni mkopo uliotolewa na mfuko huo kwa wanachama wa SACCOS ya waalimu wilayani Ruangwa..Hafla hiyo ilifanyika Wiyani Ruangwa hivi karibuni.
Wanachama wa  Walimu Saccos wa Wilaya  ya Ruangwa mkoani Lindi wakifurahia   mkopo wenye thamani ya shilingi Milioni 100 uliotolewa na Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwa wanachama wa Saccos hiyo. Anaeshuhudia wa pili kulia ni Meneja wa LAPF,  Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule. Hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika Wilayani Ruangwa hivi karibuni.  
(Imeandaliwa na mtandao wa http://www.habarizajamii.com/)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: