Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla akisalimiana na viongozi wa Wilaya ya Mbinga waliofika kumpokea kwenda kukagua miradi ya maji iliyopo Wilayani Mbinga. Kushoto kwa Naibu Waziri ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Bi. Senyi Ngaga na aliyevaa kofia ni Mbunge wa Mbinga Mashariki Mh. Gaudence Kayombo.
Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla mwenye tabasamu akipokea zawadi ya gunia la mpunga pamoja na mbuzi kutoka kwa wanakijiji wa kijiji cha Litumbandyosi kikilichopo Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma.
Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makalla mwenye tabasamu akipokea zawadi ya gunia la mpunga pamoja na mbuzi kutoka kwa wanakijiji wa kijiji cha Litumbandyosi kikilichopo Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma.

No comments:
Post a Comment