Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mkuu wa Idara ya Sheria wa Klabu ya Yanga, Frank Chacha akionyesha gazeti lililoandika habari za kununuliwa nyumba na magari kwa wachezaji wa timu hiyo. (Picha na Francis Dande)
Msemaji wa Yanga, Jerry Muro akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam, wakati akikanusha taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya vyombo
vya habari kuhusu kununuliwa nyumba kwa wachezaji wa timu hiyo.



No comments:
Post a Comment