WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AWASILI MKOANI DODOMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


waz1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Rasaisei English Medium ya mjini Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 24, 2015. Wapili kulia ni Rubani wa Ndege za serikali, Narzis Kisimbo , kulia ni Mwalimu Esther Minja na kushoto ni mwalimu Emmanuel Kubyo.Wanafunzi hao walikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ziara ya kujifunza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) waz2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za Serikali baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 24, 2015.Kutoka kushoto ni Rubani Naeziz Kisimbo, Mhandisi, Dioniz Majogo na Afisa Uendeshaji, Mohammed Mwilima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.