Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mbunge wa Wawi kupitia chama cha wananchi (CUF) Hamad Rashid amewaaga rasmi wabunge wenzake na kusema hatagombea tena ubunge wa jimbo hilo na badala yake atagombea urais wa Zanzibar kwa kupitia chama cha Aliance for Democratic Change (ADC).
No comments:
Post a Comment