HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

ja1 
Rais Kikwete akiangalia Darala la Mwanamtitu Mbagala lililosombwa na maji na daraja la muda la miti lililojengwa na wakazi wa Eneo hilo na kisha kuwapa pole kwa adha wanazozipata
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete jana amekagua baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa vibaya na mafuriko jijini Dar es Salaam na kuwapa pole wakazi wa maeneo hayo.
Maeneo aliyotembelea Rais jana ni Mbagala Mwanamtitu na Daraja la Msimbazi ambapo amejionea uharibifu uliofanywa na mvua zinazoendelea kunyesha.
ja2 ja3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa mhandisi wa TANROADS kutoa uchafu ulijaa chini ya daraja la Msimbazi eneo la Jangwani.
ja5
Rais Dkt..Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la mto Msimbazi Eneo la Jangwani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
ja6
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa maelekezo kwa mhandisi wa TANROADS kutoa uchafu ulijaa chini ya daraja la Msimbazi eneo la Jangwani.
ja8
Rais Dkt..Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Daraja la mto Msimbazi Eneo la Jangwani wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: