Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

1. Mikoa ya Mtwara na Lindi zoezi lilianza tarehe 24/4/2015 kumalizika 24/5/2015.
2. Mkoa wa Ruvuma uandikishaji ulianza tarehe 27/4/15 hadi 28/5/15.
3. Mkoa wa Iringa zoezi limeanza tarehe 29/4/2015 hadi 29/5/15.
4. Katavi zoezi limeanza tarehe 18/5/2015 hadi 17/6/2015.
5. Mbeya kuanza tarehe 19/5/15 kumalizika 18/6/2015.
6. Dodoma kuanza 19/5/2015 kumalizika 19/6/2015.
7. Rukwa kuanza 18/5/15 hadi 23/6/15.
8. Kigoma, Kagera, Singida na Tabora kuanza 21/5/15 hadi 18/6/2015.
9. Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu kuanza 2/6/15 hadi 4/7/15.
10. Kilimanjaro, Arusha, Mara na Manyara litaanza 12/6/15 hadi 12/7/15.
11. Morogoro, Pwani na Tanga kuanza 18/6/15 hadi 18/7/15.
12 Zanzibar kuanza 14/6/15 hadi 16/6/15.
13. Dar es salaam kuanza 4/7/15 hadi 16/7/15.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi inawaomba wananchi wote wenye sifa kujitokeza kwenda kujiandikisha ili waweze kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.



No comments:
Post a Comment