SEMINA YA WATEULE WA TUZO ZA MUZIKI YAFANA JIJINI DAR

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli akifafanua jambo mbele ya wasanii walioingia kwenye tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Awards)hawapo pichani wakati wa semina iliyoandaliwa na Baraza za Sanaa Tanzania (BASATA) pamoja na Bia ya Kilimanjaro jana jijini Dar.
 Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akitoa semina kwa wasanii walioingia kwenye tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Awards) kuhusu utumiaji mzuri wa intenet hasa kwenye mitandao ya kijamii iliyofanyika jana kwenye hoteli ya Double Tree jijini Dar
 Muimbaji mkongwe wa taarab nchini Tanzania, Khadija Omar Kopa akiuliza swali kwa  Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy(hayupo pichani) wakati wa mafunzo ya siku moja kwa wasanii walioingia kwenye tuzo za KILI
Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu Mzee Yusuf akieleza jambo kuhusu baadhi ya watu kutumia jina lake kwenye mitandao ya kijamii na kuwa ameishatoa malalamiko sehemu nyingi lakini bado hajasaidiwa na watu hao wanawaibia watu wakati wa semina kwa wasanii walioingia kwenye Tuzo za Kilimanjaro
Afisa mtendaji Mkuu kutoka Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) Bi. Doreen A. Sinare akitoa semina kwa wasanii waliofika kwenye mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa na BASATA pamoja na Bia ya Kilimanjaro ambao ni wadhamini wa Tuzo za wasanii Tanzania.
Msanii wa muziki wa bongo fleva Dayna Nyange akitoa malalamiko yake kwa uongozi wa COSOTA kuhusu kusumbuliwa kipindi alipokwenda kwenye ofisi hiyo kutokana na tatizo la miziki yake kupigwa kwenye baadhi ya Bar bila kulipwa chochote.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Barnaba  akiliza swali kwa uongozi wa COSOTA ni kwa namna gani msanii anweza kujisajili ili kuweza kulinda kazi zake za kisanii na hata kuingiza kipato kutokana na muziki huo anaoufanya
Baadhi ya Wasanii wakifyatilia semina kwa umakini zaidi
 Mwongozaji wa Semina hiyo Taji Liundi akitolea ufafanuzi baadhi ya mambo kwenye Semina ya wasanii walioingia kwenye tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Awards) mwaka 2015
Rapa kutoka kundi la Weusi, Nikki wa Pili akichangia mada kwenye semina hiyo
Rais wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma”, Nyoshi El Sadat akijaribu kuwaomba COSOTA waliwalipe pesa zao ili kuondoa migogoro ndani ya bendi yao.
 Producer Man Water ambaye jina lake kamili ni John Vomo akijaribu kuwasisitiza COSOTA kufanya kazi karibu sana na wasanii ili kuweza kufikia maleo yao waliojiwekea
George Kavishe akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali waliyauliza wasanii wakati wa semina kwa wasanii waliongia kwenye tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Awards) mwaka 2015
Baadhi ya wasanii waliofika kwenye Semina hiyo
Meneja Mwenza wa Kampuni ya Auditax International Bw. Straton Makundi akiwasilisha mada wakati wa semina kwa wasanii waliongia kwenye tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Awards) mwaka 2015 iliyofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree jijini dar
Afisa  Mkaguzi wa Kampuni ya Auditax International, Pavel Gabriel akitolea ufafanuzi jinsi ya kupigia kura msanii kwa njia ya mtandaoni, kwa kutuma SMS na hata Whatsapp  ambayo ni njia iliyoanza kutumia mwaka huu baada ya kuona inafaa kutumika kumpigia kura msanii.
Msanii wa muziki wa Reggae, Ras Six ambaye jina lake kamili ni Sixmond Mdeka akisisitiza jambo kuhusu upigaji wa kura
Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto akikazia suala la kupiga kura lisije likaingia dosari wakati wa semina kwa wasanii waliongia kwenye tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Awards) mwaka 2015 iliyofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree jijini dar.
 Afisa Habari wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Aristides Kwizera akijibu maswali ya wasanii (hawapo pichani) pamoja na kutolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyoleta mkanganyika kwa baadhi ya wasanii
Mkuu wa Matukio wa Baraza za Sanaa Tanzania (BASATA), Kurwijira Maregesi akikazia maneno baada ya  Afisa Habari wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Aristides Kwizera  kumaliza kuzungumza na wasanii walioingia kwenye Tuzo za kili kwa mwaka wa 2015
 Msanii wa muziki wa Reggae na Ragga Tanzania, Dabo akisisitiza na kuwaomba Baraza za Sanaa Tanzania (BASATA) kutenganisha vipengele kati ya Reggae na  Dance  Hall maana vinaleta mkanganyiko wakati wa utoaji wa tuzo
Baadhi ya Wadau wa Muziki pamoja na wasanii wa Tanzania waliofika kwenye Semina hiyo
Msanii wa muziki wa bongo fleva Dayna Nyange akimwimbia wimbo wa Happy Birthday Muimbaji mkongwe wa taarab nchini Tanzania, Khadija Omar Kopa huku Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu Mzee Yusuf akitaka kumbeba msanii huyo ilikuwa ni furaha.
Msanii wa muziki wa bongo fleva Dayna Nyange akimbusu Khadija Omar Kopa kwa kuonesha upendo kwa msanii mwenzake
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli(katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Msanii wa muziki wa Reggae, Ras Six  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli (wa pili kutoka kulia) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Kiongozi wa Bendi ya The African Stars 'Twanga Pepeta', LuizaNyoni Mbutu  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli(wa pili kutoka kulia) akiwakabidhi cheti cha ushiriki wa semina kundi la Mapacha Watatu  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli (katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina msanii wa miondoko ya Hip hop chini maarufu kama FID Q kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli (wa pili kutoka kulia) akiwakabidhi cheti cha ushiriki wa semina wasanii wa kundi la Weusi  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli(katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Grace Matata  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli(katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Mkali wa R&B , Ben pol  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli(katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Msanii wa muziki wa bongo fleva Dayna Nyange  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli(katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli(katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Rais wa Bendi ya FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma”, Nyoshi El Sadat  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli(katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu Mzee Yusuf  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli (wa pili kutoka kulia) akiwakabidhi cheti cha ushiriki wa semina kundi la Makomandoo  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli (katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli (katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina  Producer Man Water  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli (katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli (katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Mwana FA  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL
Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Bi. Pamela Kikuli (katikati) akimkabidhi cheti cha ushiriki wa semina Msanii wa muziki wa Reggae na Ragga Tanzania, Dabo  wa kwanza kilia ni Silvanus Mazura kutoka TBL

No comments

Powered by Blogger.