Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Wafanyabiashara ambao ni walemavu wakiwa wamekaa katikati ya barabara ya
Uhuru na Kawawa huku wakilalamikia kitendo cha Manispaa ya Ilala kuwavunjia vibanda vyao
vya biashara na kuwasababishia upotevu na uharibifu wa mali zao katika eneo la Mchikichini pembezoni
mwa Uwanja wa Karume jijini Dar es
Salaam leo . (Picha na Francis Dande).
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza na viongozi wa wafanyabiashara hao baada ya kufunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru jijini Dar na kupelekea hadha kwa watumiaji wa barabari hiyo.
Ofisa wa Polisi akizungumza na mmoja wa wafanyabiashara.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akielekea ofisini kwake kuzungumza na viongozi wa wafanyabiashara hao.
Magari yakiwa yamekwama kwenye foleni baada ya kutokea mgomo wa watu wenye ulemavu waliofunga kwenye makutano ya barabara ya Uhuru na Kawawa
Walemavu wakiwa wamefunga barabara.
Mbuzi wakipita katikati ya barabara.
No comments:
Post a Comment