HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WATU KUMI NA TANO WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA MAGARI MATATU KATIKA BARABARA YA NJOMBE/MBEYA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 



WATU KUMI NA TANO WAJERUHIWA KATIKA AJALI ILIYOHUSISHA BASI LA ABIRIA MALI YA KAMPUNI YA TAQWA LENYE NAMBA ZA USAJILI T.791 BZR AINA YA NISSAN LILILOKUWA LIKIENDESHWA NA DEREVA AITWAYE SALUMU SELEMANI (45) MKAZI WA D’SALAAM KULIGONGA GARI LENYE NAMBA ZA USAJILI T.778 CAN ISUZU FTR LIKIENDESHWA NA DEREVA AITWAYE EDWIN LUYENGA (40) NA KISHA KUGONGA KWA NYUMA GARI T.565 CVB/T.836 BBC AINA YA MAN LILILOKUWA LIMEHARIBIKA NA KUEGESHWA.

AJALI HIYO IMETOKEA MNAMO TAREHE 10.05.2015 MAJIRA YA SAA 20:10 USIKU HUKO KATIKA KIJIJI CHA KAPYO, KATA YA MAHONGOLE, TARAFA YA ILONGO, WILAYA YA MBARALI, MKOA WA MBEYA KATIKA BARABARA KUU YA MBEYA/NJOMBE.

MAJERUHI KATIKA AJALI HIYO NI WANAUME TISA [09] NA WANAWAKE SITA [06] WALIFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. APAMAT UMUYU (41) MKONGO 2. SALUMU RASHIDI (29) MKAZI WA DSM 3. JUMA RAJABU (34) MKAZI WA ZANZIBAR 4. ANNA MISIKITA (36) MKONGO 5. DAVID MTACHI (43) MKAZI WA DSM 6. GROLI AMANI (41) MKAZI WA DSM 7. KELVIN JORDAN (39) MKAZI WA DSM 8. WAZIRI OMARY (35) MKAZI WA DSM 9. MCHEMBE GEORGE (35) MKAZI WA MWANZA.

MAJERUHI WENGINE NI 10. LIKA ILUNGA (47) MKAZI WA KONGO 11. MAJARIWA RAMADHANI (51) MKAZI WA KAGERA 12. ADELA MUTOMBA (46) MKAZI WA KONGO 13. MUDY ABDALLAH (43) MKAZI BUKOBA 14. NASORO MKAZI WA TANGA, MAJERUHI MMOJA MWANAMKE AMETIBIWA NA KURUHUSIWA NA WENGINE 14 WAMELAZWA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA. 

CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI WA DEREVA WA BASI AMBAYE AMEKAMATWA. 

KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI NYIGESA R. WANKYO ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA MAKINI WANAPOTUMIA VYOMBO VYA MOTO IKIWA NI PAMOJA NA KUFUATA SHERIA/KANUNI/ALAMA ZA USALAMA BARABARANI ILI KUEPUKA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA.

Imesainiwa na:
[NYIGESA R. WANKYO – ACP]
KAIMU KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: