HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » BOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akiwa ndani ya banda la MSD.
Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza leo na kufikia tamati baada ya wiki moja.

Ofisa Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema.
Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema (kushoto), akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la MSD.
Vifaa tiba vikioneshwa katika banda hilo.
Muonekano wa banda la MSD katika maonyesho hayo. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com)

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: