HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » HARAMBEE NA CHAKULA CHA JIONI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ALBANY, NEW YORK YAFANA SANA.

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu. 



 Esther Brown kutoka Uganda mmoja katika uongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany, New York akitoa utambulisho kwa viongozi wa Jumuiya hiyo katika sherehe ya harambe ya chakula cha jioni ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya Albany jimbo la New York, Jumuiya ikiwa inajumuisha nchi tano ambazo ni Rwanda, Burundi, Tanzania, Uganda na Kenya.
 Katibu mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akiojitambulisha na baadae kumkaribisha Rais wa Jumuiya hiyo.
Rais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Robert Ndege akiongea  na wageni waliohudhuria sherehe ya harambee na chakula cha jioni iliyofanyika katika hotel ya Holiday Inn siku ay Jumamosi June 20, 2015.
 Mshereheshaji Amos Okoth

BOFYA HAPA KWA TUKIO ZAIDI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: