HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MATUMAINI YA KUPATA WATU WALIOHAI YATOWEKA KATIKA AJALI YA MELI ILIYOTOKEA NCHINI CHINA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Matumaini yameanza kupungua ya kupata watu waliohai ndani ya meli iliyozama kwenye mto wa Yangtze nchini China.
 Meli hiyo ya The Eastern Star, ikiwa na watu 456 wengi wao wakiwa vikongwe ilipinduka kutokana na hali mbaya ya hewa usiku wa jumatatu.
 Watu 18 wamethibitishwa kuwa wamekufa, limesema shirika la habari la taifa na wengine 14 wameokolewa baadhi yao walikuwa wamekwama kwenye mifuko ya hewa ndani ya meli.

 Maafisa wamesema wataendelea kuangalia manusura, lakini hii huenda ikawa ni moja ya ajali mbaya ya majini kutokea katika miongo kadhaa.



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: