Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na
rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la
uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa
BVR.
Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Jshua Nassar akizungumza na
wananchi katika kata ya Shambarai Burka wakati wa mkutano wa hadhara
uliofanyika katika kata hiyo kuhasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha
katika daftarai la kudumu la wapiga
kura.
Baaadhi ya wananchi wakiwa wamembeba Mbunge Joshua Nassar mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa Shambarai
Burka.
Mbunge Joshua Nassar akitelemka kutoka katika helkopta wakati
alipofika katika kata ya Shambalai Burka kwa ajili ya kuhamasisha
wananchi kujitokeza kujiandikisha.
Mbunge Joshua Nassar akisalimiana na mmoja wa watoto waliojitokeza kumpokea.
Kundi la kina mama pia walikuwa miongoni wananchi waliojitokeza kumpokea Mbunge Nassar.
Mbunge Joshua Nassar akiwa na viongozi wengine wa Chadema wilaya ya Arumeru.
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Arumeru ,Gadiel Mwenda akizungumza
katika mkutano uliofanyika kata ya Shambarai Burka kuhamasisha wanachi
kujitokeza katika zoezi la uandikishwaji.
Mbunge Nassar pia alitumia mkutao huo kuwaonesha wananchi magari
mawili ya kubeba wagonjwa aliyotoa kwa ajili ya Halmashauri ya wilaya ya
Arumeru.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo.


Magari mawili ya kubebea wagonjwa yaliyotolewa na Mbunge wa jimbo
la Arumeru Mashariki kwa ajili ya watu wa jimbo
hilo.
Mbunge Nassar akiwaapisha wananchi ikiwa ni moja ya hamasa
kujitokeza katika kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga
kura.
Mbunge Nassar akiondoka katika uwanja huo mara baada ya kumalizza mkutano
wa hadhara.
Na Dixon Busagaga waKanda ya Kaskazini.



No comments:
Post a Comment