HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MUSLIM ARUDISHA FOMU YA UBUNGE, MAKUNGU AJIUNGA NA CHADEMA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Muslim Hassanali akirudisha fomu  kwa Mratibu wa Kanda ya Pwani, Casimir Juma Mabina  za kuomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi mkuu ujao. Kulia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, Mabere Marando. (Picha na Francis Dande)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Mabere Marando (kushoto) akimkabidhi kadi ya Chama hicho aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM tawi la Kigamboni Wilaya ya Mafia, Mohamed Makungu ambaye amekiama chama chake na kujiunga na Chadema. Hafla hiyo ilifanyika katika Ofisi za Kanda ya Pwani jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mwenyekiti Bodi ya Wadhamini wa chama hicho, Arcado Ntagazwa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: