HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI ,ANGELA KAIRUKI ATEMBELEA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)MKOA WA KILIMANJARO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza na wafanyakazi wa shirika laArdhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki,kulia kwake ni Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro Sheakh Kombo,
Baadhi ya wafanyakazi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro.

Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro ,Sheakh Kombo akizungumza wakati akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Naibu Waziri,Kairuki akifurahia jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro,Sheakh Kombo.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakzi wa shirika la nyumba la taifa mkoa wa Kilimanjaro.
Baadhi ya nyumba za NHC zilizoanza kufanyiwa ukarabati.
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akikagua nyumbaza NHC zinazofanyiwa ukarabati zilizoko eneo la Rau.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: