HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KITUO CHA POLISI CHA STAKISHARI UKONGA JIJINI DAR ES SALAAM CHAVAMIWA NA MAJAMBAZI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Kwa taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinasema kuwa askari Polisi wapatao wanne wameuwawa, mgambo mmoja  na pamoja na raia wawili  wameuwawa kikatili na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliovamia  kituo  cha Polisi cha Sitakishari, Ukonga,  jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo. Pia inasemekana Silaha kadhaa zimeporwa na majambazi hayo. Viongozi waliofika katika eneo la tukio ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiongozana mna mkuu wa wilaya ya ilala pamoja na Mkuu wa jeshi la Polisi hapa nchini.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu yupo eneo la tukio muda huu na ametangaza msako wa nguvu kuwasaka waliohusika na tukio hilo na kukomboa silaha zilizoporwa. 
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

CHANZO: RADIO ONE 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: