Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
QS J Muhonda ambaye ambaye anasimamia kazi za wasanii kupitia kampuni yake ya QS leo alikua akirudisha Fomu ya Kuomba kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
QS amesema kuwa ameamua kuchukua fomu na kugombea nafasi hiyo ili kuleta maendeleo ya jimbo hilo na pia anauwezo na ufanisi mkubwa wa kuleta maendeleo katika jimbo hilo la Kinondoni, Lakini pia unaushawishi mkubwa kwa vijana ambao ni taifa la leo kuwafanya kuwa nguvu kazi ya Taifa hususan vijana wengi wa kinondoni ambao hawana ajira jambo ambalo linawapelekea kufanya vitendo vya kiovu ambavyo havikubaliki katika jamii.
No comments:
Post a Comment