HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » SAIDI FELLA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UDIWANI KILUNGULE

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Katibu wa Siasa na Uwenezi kata ya Kilungule, Juma ally kilindo Akimkabidhi fomu ya Kuomba kugombea udiwa Saidi Fella.
Saidi Fella akisaini kitabu cha wageni mara alipofika katika Ofisi za Kata ya Kilungule wilaya ya Temeke.
Kiongozi wa Kundi la TMK wanaume na mkurugenzi wa kituo cha mkubwa na wanawe, Saidi Fella leo amechukua fomu ya kuomba kugombea udiwani katika kata yake ya Kilungule Temeke,
Saidi Fella ameamua kuchukua fomu hiyo na kugomea nafasi hiyo ili aweze kutatua kero za wakazi wa kata ya Kilungule na kuleta maendeleo katika Kata hiyo.

"Nimeamua kuchukua nafasi hii ili kutatua kero za kata yangu, hapa kuna shida ya maji na barara naamini nikiwa Diwana nitaweza kuonana na wakubwa wa nchi uso kwa macho na kuweza kuelezea shida za kata yangu, chamsingi ni kuleta maendeleo" Alisema Saidi Fella. Picha zaote na Harakati za Bongo

Saidi Fella akitia Saini mara Baada ya kuchukua fomu katiaka Ofisi za Kata ya kilungule wilaya ya Temeke.


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: