Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Dodoma kwa tiketi ya CCM, Mariam Salum Mfaki enzi ya uhai wake.
Mbunge wa Viti maalum CCM kwa Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Salum Mfaki , Amefariki Dunia Mchana wa leo tarehe 21/07/2015. Hadi mauti yanamkuta alikuwa amelazwa katika Hospital ya Mkoa Dodoma (General Hospital)
Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu Muhammed Mfaki amesema mama yake alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani tangu mwaka 2012.
endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
No comments:
Post a Comment