Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
 |
| Wanafunzi wa shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest jijini Mbeya wakitoa burudani katika mahafali ya Darasa la saba katika shule hiyo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya .Picha Jamiimoja blog |
 |
| Wahitimu wa Elimu ya Msingi katika shule ya Kimataifa ya St.Marrys Forest Jijini Mbeya |
 |
| Wazazi na walezi |
 |
| Uongozi wa shule ukitoa zawadi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika masomo yao kwa upande wa wanafunzi wote kwa ujumla waliobaki shuleni hapo. |
 |
| Wahitimu waliofanya vizuri katika masomo yao wakipatiwa zawadi nauongozi wa shule hiyo. |
 |
| Wazazi wakitoa pongezi zao kwa watoto wao ambao wamehitimu elimu ya msingi darasa la saba katika shule hiyo ya kimataifa ya St.Marys Forest jijini Mbeya |
No comments:
Post a Comment