Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Viongozi wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wakiwa wameshikana mikono na Mgombea wa Urais wa Ukawa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa na Makamu wake, Dkt. Juma Haji Duni pamoja na Maalim Seif Sharif Hamad anaewania Urais wa Zanzibar, wakati wakitambulishwa kwa wananchi wa Zanzibar, kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti leo Agosti 17, 2015

Mgombea Urais wa Zanziba wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia Mkutano wa hadhara wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa na Mgombea Mwenza wake na kutambulishwa kwa wananchi wa Zanzibar, uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti leo Agosti 17, 2015.Picha na Othman Michuzi

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akihutubia Mkutano wa hadhara wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi (NEC) na kutambulishwa kwa wananchi wa Zanzibar, uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti leo Agosti 17, 2015

Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Juma Haji Duni akihutubia Mkutano wa hadhara wa kutafuta wadhamini wa Tume ya Uchaguzi (NEC) na kutambulishwa kwa wananchi wa Zanzibar, uliofanyika kwenye Uwanja wa Demokrasia, Kibanda Maiti leo Agosti 17, 2015

Mh. Lowassa, (kushoto), akiteta jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mh. Freeman Mbowe





Mkutano ukiendelea katika Viwanja vya Kibanda Maiti, Zanzibar

Wakazi wa Zanzibar wakifuatilia mkutano wa UKAWA katika Viwanja vya Kibanda Maiti, Zanzibar



No comments:
Post a Comment