Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kwa taarifa zilizotufikia leo kutoka Mkoani Arusha zinasema kuwa aliyewahi kuwa
waziri wa mambo ya ndani Mh.Lawrence Masha kakihama Chama cha Mapinduzi
na kujiunga na CHADEMA leo.Pia Wanachama wa (CCM) na viongozi ambao
ni Daniel Porokwa aliyekuwa katibu wa CCM mkoani Manyara, Robinson
aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Arusha, aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa
Arusha, Goodluck Sipira aliyekuwa katibu wa CCM mkoani Arusha huyu
anatokea Longido, aliyewahi kuwa mgombea
Ubunge kupitia CCM pale Arumeru Mashariki ndugu Sioi Sumari Wazee wa Kimila wa Kimasai pamoja na Wazee wa
kimila wa Kimeru wote wakiongozwa na Mshili Mkuu leo wamejiunga rasmi kwenye
chama cha CHADEMA.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
No comments:
Post a Comment