HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » CHADEMA YAWASILISHA BARUA YA MALALAMIKO TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.




Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akikabidhi barua ya malalamiko leo kuhusu matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa  na NEC kwa  Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dar es Salaam. Katikati ni Wakili wa Chadema, John Mallya. (Picha na Francis Dande)
Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati alipowasili kukabidhi barua ya malalamiko kuhusu matokeo ya uchaguzi.
 Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakati alipowasili kukabidhi barua ya malalamiko kuhusu matokeo ya uchaguzi. Kulia ni Ofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
 Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni (kushoto) akihakikia nyaraka za malalamiko kabla ya kukabidhi NEC.
 Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi barua ya malalamiko kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
 Mgombea Mwenza wa  urais  wa Chadema, Juma Haji Duni akitoka katika Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi huku akiongozana na wakili wa Chadema, John Mallya.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: