HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » KAMPUNI KONGWE YA MAWASILILIANO TANZANIA (TTCL) YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mkurugenzi Mkuu wa shirika la mawasiliano (TTCL) kushoto , Dk. Kamugisha Kazaura akisaini kitabu cha wageni katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo. Ambapo Kampuni ya simu ya TTCL  imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja .
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akikata keki katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kuzinduwa wiki ya huduma kwa wateja leo. Kampuni ya simu ya TTCL leo imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja 
 Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akimlisha keki mmoja wa wateja waliofika kupata huduma katika ofisi za (TTCL) ndani ya moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo.

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto)  akimlisha keki Pius Kitosi ambaye ni mmoja wa wateja walio weza kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa huduma kwa wateja  katika kampuni ya simu ya (TTCL) leo
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo jijini Dar es Salaam. Kampuni ya simu ya TTCL leo imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia Oktoba 12 hadi 16, 2015.

 Ofisa Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngotaakizungumza na waandishi wa habari katika hafla fupi ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo jijini Dar es Salaam. ndani ya moja ya tawi la kampuni hiyo.
 Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL) Dk. Kamugisha Kazaura akifurahi pamoja na wafanyakazi na wateja katika siku siku ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika dar es salaam leo
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akitoa zawadi kwa mmoja wa wateja wa kampuni hiyo waliofika kupata huduma katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja.
 Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akitoa zawadi kwa mmoja wa wateja wa kwanza waliofika kupata huduma katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo leo jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja.
 Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL) Dk. Kamugisha Kazaura  (kulia) akimkabidhi cheti cha ufanyakazi bora kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya (TTCL) Elizabeth Zongo akipokea chiti hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL) Dk. Kamugisha Kazaura  (kulia) akimkabidhi cheti cha ufanyakazi bora kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya (TTCL) Dotto Mzee 
 Baadhi ya wateja wa kwanza wa TTCL waliofika kupata huduma leo katika matawi ya huduma kwa wateja ya jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na  Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL) (katikati) kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja.
 Meneja wa Kanda ya TTCL Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela (kushoto) akimkabidhi zawadi ya utendaji bora Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL) kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo.
 Dr.Shabani Pazi ambaye ni Mmoja wa wateja akitoa shukrani za dhati katika kampuni kongwe ya mawasiliano (TTCL)
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Simu Tanzania (TTCL) Dk. Kamugisha Kazaura  katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanya kazi wa kampuni ya simu ya (TTCL) katika uzinduzi wa wiki ya huduma kwa watea ambayo imezinduliwa leo Tar 12 Oktoba 2015 katika moja ya tawi la kampuni hiyo jijini dar es salaam na wiki hiyo itadumu mpaka Tar 16 Oktoba mwaka huu

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: