HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MAALIM SEIF AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ZANZIBAR LEO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mgombea wa Rais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF anayeungwa mkono na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake Mtendeni Zanzibar. (Picha na Talib Ussi)
Mohammed Masoud rashid mgombea wa urais kupitia chama cha CHAUMA katikati ana mwengine kushoto ni mgombea wa Urais kupitia chama cha DP Abdallah Kombo Khamisi na kulia ni katibu Mkuu waDemocrasia Makini Ameir Hasani Ameir wakizungumza na waandishi hapo katika hotel ya Grand Pelace Zanzibar juu ya Mwenyekiti wa tume kufuta uchaguzi wa zanzibar vyama hivyo vinawakilisha vyama vyengine vuitatu ambavyo Ni jahazi Asilia, SAU na NRA. 
Kamishina wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, Ayoub Bakar akifafanua jambo kwa waandishi wa habari katika hoteli ya Manson. Kushoto ni Nasour Khamis.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: