Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama
kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh James Lembeli na Joyce Mukya
wanusurika kifo mara baada ya gari waliokuwa wakitumia kusafiria kutoka
Simanjiro kuelekea Arusha kupata ajali na kupinduka.Taarifa za awali zinasema
kuwa hakuna hawakuumia lakini tutaendelea kuwajuza kadri habari
inavyotufikia.Picha na Mdau Massawe
chanzo: Lukaza blog
No comments:
Post a Comment