HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » WANAHARAKATI WAKUTANA DAR ES SALAAM WAJADILI MAMBO MUHIMU YANAYOTAKIWA KUTILIWA MKAZO NA SERIKALI IJAYO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


 Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, Onesmo Olengurumwa akizungumza na wadau mbalimbali wakati wa Mkutano wa Policy Forum walipokuwa wakiongelea Ilani yao na Asasi za Kiraia kutoa mwelekeo na malengo yao makubwa kwa Rais wa awamu ya tano ili kuyapa kipaumbele mambo muhimu ikiwemo Katiba, Usimamizi wa Rasilimali za Nchi na NK. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mkurugenzi wa Ahadiway Life Development Initiative (NGO) Team James Obedi (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wengine baada ya mkutano huo kumalizika Dar es Salaam alitaka kuwepo kwa Katiba Mpya ambayo itakuwa inatoa muongozo na Dira ya Taifa.  Pia Serikali itunge Sera ya Taifa, kuliko kila Chama kuja na Sera yake na kuwepo na mwendelezo wa upanuzi wa viwanda, vitakavyo saidia kukuza uchumi wa Nchi kwa kizazi kilichopo na kijacho.

 
 
                                                                                                              Wadau
 Afisa Programu Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera. (HAKI ELIMU) Makumba Mwemezi (wa pili kulia) wakishauriana jambo na wadau wakati wa mkutano huo
 
  Afisa Programu Idara ya Utafiti na Uchambuzi wa Sera. (HAKI ELIMU) Makumba Mwemezi (wa pili kulia) akitowa mada katika Mkutano huo

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: