HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » TAZAMA VIDEO YA BINTI KIPOFU PIA KIZIWI KUTOKA ERITREA ALIYEHITIMU CHUO KIKUU CHA HARVARD

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


HABEN Girma ni mwanafunzi wa kwanza asiyeweza kuona au kuisikia, kuhitimu kutoka chuo kikuu cha Harvard. Ana lengo kubwa katika maisha. Alizaliwa Carlifornia baada ya mama yake kukimbia kutoka Eritrea miaka ya 80, na kwenda Marekani kama mkimbizi.
Alifaidika kutokana na sheria ya mfumo wa elimu nchini Marekani inayowapa haki walemavu, jambo ambalo kaka yake ambaye pia haoni alinyimwa nchini kwao Eritrea. Sasa hivi ni mwanasheria anayejitahidi kuimarisha upatikanaji wa teknoljia kwa watu wasioweza kuona au kusikia.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: