HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » AJALI YATOKEA ENEO LA SHELUI MKONI SINGIDA IKILIHUSISHA BASI LA TAKBIR


 Basi la Kampuni ya Taqbiir lililokuwa linatoka Dar es Salaam kwenda Katoro-Geita, lilipofika kijiji cha Kisonzo, tarafa ya Shelui wilaya ya Iramba mkoa wa Singida Desemba mosi mwaka huu, majira ya saa moja na nusu liligonga Tenka la Mafuta upande wa kulia wa dereva na kung’oa bati lote na kuua baadhi ya watu papo hapo na wengine walifia njiani wakipelekwa hospitali ya wilaya ya Iramba.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, ACP Thobias Sedoyeka akitoa taarifa ya ajali kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha).

Chanzo: Mo Blog

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: