Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge kwenye viwanja vya
Bunge jini Dodoma Januari 28, 2016. Kutoka kushoto ni Jumanne Kishimba
wa Kahama, Edwin Ngonyani wa Namtumbo ambaye pia ni Naibu Waziri wa
Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Hussein Amar wa Nyangwhale, Prosper
Mbene wa Morogoro Kusini na Joseph Kalanda wa Sikonge. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, Januari
Makamba, Bungeni Mjini Dodoma, Januari 28, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment