HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » AFANDE SELE ADAI AMEACHA WOSIA AKIFA ACHOMWE MOTO

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Msanii mkongwe kutoka Morogoro, Afande Sele amesema kuwa ameacha wosia kwa ndugu zake akifa asizikwe bali achomwe moto.
Akizungumza katika kipindi cha Planet bongo cha East Africa Radio, Afande alisema kuwa akichomwa moto ana imani atakuwa malaika na sio kuwa binadamu tena.
Pia Afande alidai kuwa amechoka kuwa binadamu bali anataka kuwa Malaika ndio maana anahitaji kuchomwa moto ili siku ya ufufuo arudi kama Malaika na si binadamu, imani yake inamtuma kuwa akizikwa kwenye udongo siku ya ufufuo atarudi kuwa binadamu tena jambo ambalo yeye hataki kuzisikia tena.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: