Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa Mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa
Nchi atakayeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan
Tukufu, Rajai Ayoub, aliyepata pointi 95 kwa upande wa Tajweed, wakati wa
mashindano hayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam,
jana Feb 28, 2016. Mashindano hayo yameandaliwa na Kamati maalum chini ya
Mwenyekiti wake, Saleh Omary. . Kushoto ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mahd
Aghajafar .
Makamu
wa Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla fupi ya
kukabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa Nchi
atakayeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan Tukufu, yaliyoandaliwa
na Kamati Maalum chini ya Mwenyekiti wake Saleh Omary, yaliyofanyika kwenye
Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, jana.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa kwanza wa Mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa
Nchi atakayeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan
Tukufu, Abubakar Mohamed, aliyepata pointi 86 kwa upande wa washindani wa Juzuu
30, wakati wa mashindano hayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini
Dar es Salaam, jana Feb 28, 2016. Mashindano hayo yameandaliwa na Kamati maalum
chini ya Mwenyekiti wake, Saleh Omary. Kushoto ni Balozi wa Iran nchini
Tanzania, Mahd Aghajafar.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi, mshindi wa pili wa Mashindano ya kumtafuta mwakilishi wa
Nchi atakayeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan
Tukufu, Ibrahim Omary, aliyepata pointi 90 kwa upande wa Tajweed, wakati wa
mashindano hayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam,
jana Feb 28, 2016. Mashindano hayo yameandaliwa na Kamati maalum chini ya
Mwenyekiti wake, Saleh Omary. Kushoto ni Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mahd
Aghajafar.
Baadhi
ya waumini wa dini ya kiislamu, waliohudhuria mashindano hayo, wakimsikiliza
Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Baadhi
ya waumini wa dini ya kiislamu, waliohudhuria mashindano hayo, wakimsikiliza
Dkt. Bilal, wakati akihutubia.
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sl-had Mussa Salum, akizungumza kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi, kufunga mashindano hayo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya maandalizi ya mashindano hayo,Saleh Omary, akizungumza wakati wa
mashindano hayo.
Makamu
wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu wakati akiondoka kwenye
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa mashindano ya
kumtafuta mwakilishi wa Nchi atakayeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya
Kimataifa ya Qur'aan Tukufu
Dua baada hafla hiyo
Mshiriki Rajab Juma, mshindi wa pili aliyepata pointi 78 katika Juzuu 30
Mshiriki Mbwana Dadi, mshindi wa tatu aliyepata pointi 75 katika Juzuu 30
Mshindi wa kwanza katika juzuu 30, Abubakar Mohamed, aliyepata Pointi 86, akitafakari kabla ya kupanda jukwaani kushiriki.
Abubakar Mohamed, mshindi wa kwanza akishiriki....
Mshindi wa tatu kwa upande wa Tajweed, Ally Saleh, aliyeibuka na pointi 82
Mshindi wa kwanza kwa upande wa Tajweed, Rajai Ayoub, aliyeibuka na pointi 95
Mshindi wa pili kwa upande wa Tajweed, Ibrahim Omaru, aliyeibuka na pointi 90.
No comments:
Post a Comment