HABARI

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

MATUKIO

MICHEZO

SIASA

» »Unlabelled » MBUNGE WA SEGEREA AJENGA MADARASA MATANO KATIKA SHULE YA MSINGI KINYEREZI

Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.


Mbunge wa Segerea, Bonna Kaluwa amejenga madarasa matano katika Shule ya Msingi Kinyerezi Jica, ikiwa ni mkakati wake wa kukabiliana na upungufu wa madarasa jimboni humo. Kaluwa amesema baada ya Rais John Magufuli kutangaza elimu bure, mwitikio wa wanafunzi umekuwa mkubwa tofauti na matarajio. Mwalimu mkuu wa shule hiyo, Charles Shao amesema shule yake mpya baada ya kugawanywa, ilikumbwa na changamoto ya upungufu wa madarasa, hivyo msaada huo utasaidia kumaliza tatizo hilo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments: