Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Kulia ni Mtanzania Allan Kyariga jina la kisanii Allan Kingdom siku ya Jumatatu Feb 15, 2016 alikua nominated kwenye Grammys Awards zilizofanyika Los Angeles, California katika wimbo wa All Day aliyeimba akishirikiana na Kanye West. Allan Kingdom alikua nominated kwenye Best Rap Song na Best Rap Performance kushoto kwenye picha ni mama yake mzazi Lau Kyariga akiwa amemsindikiza mwanae wote wanaishi Minnesota.
Allan Kingdom akifanyiwa mahaojiano kwenye zulia jekund siku ya Grammys Awards.
Lau Kyariga akiwa kwenye zuria jekundu kwenye Gammys Awards Los Angeles, California





No comments:
Post a Comment