Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Tulipofika nyumbani nilipitiliza chumbani kwangu na
kuwaacha shemeji na kaka wakiwa wamekaa sebuleni
wakiongea
Nilibaki na mawazo sana juu ya lile ombi la shemeji kuwa
nishare na kaka kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya
" Lakin shemeji ni mzur!! Ila siku kaka akijua itakuwaje?
Si ndo ataniua na ukiangalia kaka anavyonipenda!!
Dah!
Mungu nisaidie" nikaendelea kuwaza
Nilipitiwa na usingizi bila kujielewa mpaka nilipokuja
kushtuliwa na msaidizi wa kazi usiku
" Kaka chakula tayali" alisema
Uzuri wa kaka na alichowahi kunieleza na nilishapanga
kukifanyia kazi ni kwenye swala la msaidizi wa kazi
Kaka ana style moja nzur sana ya kuajili wafanyakazi wa
ndani wamama watu wazima au mabinti wabaya sana kwa
sura
Anaamin hilo linampunguzia vishawishi na pili sisi vijana
tunaopita pale kwake hatutaweza kufanya ujinga wowote
nao.
Na kweli ukimuangalia yule binti aliyekuwa pal naamin
hautamwangalia tena
Alikuwa na sura nzito sana,na ukikosea ukakutana naye
asubuh hajanawa uso nahisi hata chakula utashindwa
kula.
Nilienda kula na wao mezani,nashukuru kiti anachokaa
shemeji kilikuwa mbali na mimi hivyo asingeweza kufanya
chochte
Baaada ya kukaa nilimpiga jicho nikashangaa akinikonyeza
Nikageuka mapema na kukaa nisije nikashtukiwa na kaka
Tulianza kula taratibu huku nikiwa kimya nikiwasikiliza
wao wakiongea
Dogo vip?mbona leo umepooza wakati wewe ndo muongeaji
sana?" aliuliza kaka
" Sijisikii vizur kaka" nikasema
"
Angalia kama hali sio nzuri uende kuchek afya dogo"
akasema
" Usijal kaka nitakuwa poa tu" nikasema
Tuliendelea kula huku waongeaji wakubwa wakiwa kaka na
mkewe
" Jamani wiki ijayo nitasafiri kwenda Dubai kufata mzigo"
akasema kaka
" Mbona ghafla?" nikajitia kuuliza utafikiri sijui
" Mzigo umeisha dukani mdogo wangu hivyo napaswa
kuufata" akasema
" Ok,unaondoka lini?" nikauliza
" Jumapili nitaondoka" akasema
" Baby nitakumis sana,af nikwambie?" akasema shemeji
" Usijal baby hata mimi nitakumic,nambie?" akasema kaka
" Nimemic sana kuku wa kienyeji" akasema
"
Basi kesho nitakununulia uwakaange baby" akasema
kaka
" Hapana,usinunue,kwa saababu wewe unaenda huko,kuna
vitu utakula huko ambavyo me sitavipata na mimi
ukiondoka nitakula kuku wa kienyejo" akasema
" Hahahahaha! Aya bana we mshindi" akasema kaka
" Ila nataka uniruhusu ukiondoka nile kuku wa kienyeji"
akasema Shemeji
Nilishtukia yale maongezi kuwa yananihusu mimi ila kaka
ndo hajaelewa kabisa
"
Me nashaur kaka usimruhusu mpaka urudi mule wote"
nikachangia
" Kwa nini mdogo wangu? Unajua kabisa ninavyompenda
mke wangu,asina namna ya kumzuia dogo acha afaid na
isitoshe na wewe upo utafaid au wewe hupend?" akaongea
kaka bila kujielewa
" Dah! Napenda kaka ila sidhani kama tutakutendea haki
kula peke yetu" nikasema
" Wee shem naye! Mmmh! Acha ushamba bana" akasema
shemeji.
ITAENDELEA JUMATATU
No comments:
Post a Comment