Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Mhe
Mahadhi Juma Maalim ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini
Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini
Kuwait, Mhe. Mahadhi Juma Maalim ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri
Mkuu jijini Dar es salaam kuaga Februari 15, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)



No comments:
Post a Comment