Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Injinia Ramo Makani kulia akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili, Ardhi na Utalii, Meja Jenerali Gaudance Milanzi katikati kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA),Ibrahim Mussa wakati wa ziara ya siku moja ya kamati ya Bunge Maliasili,Ardhi na Utalii kwenye hifadhi ya Taifa ya Saadani,
Wajumbe wa Kamati ya Bunge,Maliasili, Ardhi na Utalii wakiingia kwenye hifadhi ya Taifa ya Saadani jana.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge,Maliasili, Ardhi na Utalii Atashasta Justus Nditiye akitoa maazimio ya kamati hiyo mara baada ya kuitembelea hifadhi ya Taifa ya Sadani wa kwanza kushoto ni Mjumbe wa kamati hiyo,Marry Chatanda ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Korogwe mjini.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Injia Ramo Makani akizungumza wakati wa ziara hiyo
Kaimu Mkurugenzi wa (TANAPA), Ibrahim Mussa akizungumza wakati za ziara ya kamati ya Bunge Maliasili, Utalii na Ardhi Mazingira ilipotembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Meja Jenerali Gaudance Milanzi akizungumza wakati za ziara ya siku moja ya Kamati ya Bunge ya Maliasili,Utalii na Ardhi
Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi wa Tanapa,Mtango Mtaniko akizungumza
wakati wa ziara ya kamati ya Bunge Maliasili,Utalii na Ardhi walipofanya
ziara ya kutembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani
Mjumbe wa Kamati ya Bunge Maliasili,Utalii,Ardhi na Mazingira,Pauline Gekule akiulizwa swali wakati ziara hiyo
MJUMBE wa Kamati ya Bunge,Maliasili,Ardhi na Utalii,Shabani Shekilindi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto mkoani Tanga akiuliza swali wakati wa ziara hiyo
| Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini,Marry Chatanda ambaye pia ni mjumbe wa kamati hiyo akichangia hoja kwenye ziara hiyo |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudance
Milanzi kulia akiteta jambo na Meneja wa Mawasiliano wa Tanapa,Pascal
Shelutete wakati kamati ya Bunge Maliasili,Ardhi na Utalii
walipotembelea hifadhi ya Taifa ya Saadani
Picha kwa Hisani ya Tanga Raha Blog



No comments:
Post a Comment