Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kushoto) akichuana na
beki wa Kagera Sugar, Shaban Ibrahim katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imeshinda 3-1.

Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma (kulia) akishangilia na Simon Msuva goli la kwanza aliloifungia timu yake katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar. (Picha na Francis Dande)
Amiossi Tambwe akishangilia goli la pili aliloifungia timu yake

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kushoto) akichuana na
beki wa Kagera Sugar, Erick Kyaruzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania.



No comments:
Post a Comment