Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

TANGAZO
KWA UMMA.
Mbunge
wa Jimbo la Moshi mjini
Jafary Michael (Chadema) anatoa tahadhari kwa umma ya kuwa kuna baadhi ya watu
wenye nia mbaya wanatumia namba yake ya simu ya mkononi ya mtandao wa Vodacom kufanya utapeli
.
Watu
hao wamekuwa wakituma ujumbe mfupi (SMS) kwa watu mbalimbali kwa lengo la
kutapeli wakiomba kutumiwa fedha .
Wakati
akishughulikia suala hilo katika vyombo vya dola ametoa ombi kwa yeyote
atakayepata ujumbe huo kuupuza na kutoa taarifa kwa yeyote atakaye fikwa na
kadhia hiyo.
Ukipata
ujumbe huu mfahamishe na mwenzako.
Imetolewa
na :
Japhary
Michael
Mbunge
wa Moshi mjini



No comments:
Post a Comment