Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.

SHEMEJI ANASIMULIZA HISTORIA YA MAISHA YAKE
Nimezaliwa mkaon Tanga kama nilivyokwambia awali
Nilizaliwa na mama peke yake na mpaka umri huu simjui baba yangu kabisa
Nilipozaliwa nilipewa jina la Shamim na sio Lily kama wengi mnavyofahamu
Mimi ni sio mkristo kama mlivyokuwa mnajua ila nilifanya vile ili kukamilisha kazi niliyopewa na kikundi kile
Sijabadili jina mara moja pekee bali mara nyingi sana
Kama mama alivyonisimuliza kuwa baba yangu alimtelekeza kiwa na mimba na kupotea kabisa kutoka maeneo yale ya Mheza baada ya kupewa taarifa ya ile mimba na mama
Na baada ya kupotea na pia akiwa sio mkazi wa pale hivyo hakuna aliyejua alikotokea na hata alipokimbilia hakuna aliyejua
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA
UKITAKA KUSOMA STORY YA LEO ILIYOKAMILIKA NITAFUTE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0713363965 UTATUMIWA
ITAENDELEA JUMATANO



No comments:
Post a Comment