Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu M.L Nchemba (kulia) akisalimiana na Katibu
Mkuu wa Baraza la Kuu la Waislamu (BAKWATA), Suleman Said Lolila wakati Waziri
huyo alipokuwa anawasili katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam, kwa ajili ya kushiriki
Kongamano la Viongozi wa Dini lililojadili masuala ya ugaidi. (Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Sehemu
ya viongozi wa dini walihudhuria katika Kongamano la Viongozi wa Dini nchini
lililofanyika Hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment