Ndugu wasomaji wetu tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi hapa kwenye hii blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote. Wasiliana nasi kupitia namba +255713363965 / +255755274953. Tunashukuru kwa ushirikiano wenu.
Mkurugenzi wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu nchi wanachama wa EAC zimeaswa kuunga mkono mswada ambao utakuwa sheria ya usawa wa kijinsia na maendeleo wa jumuiya ya Afrika mashariki.
Baadhi ya wadau wa masuala ya kijinsia wakifuatilia kwa makini kinachoendelea katika mkutano huo
Baadhi ya wadau wa masuala ya kijinsia wakifuatilia kwa makini kinachoendelea katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment